Anachokisema Shafii dauda ni Sahihi..linapokuja suala la Mashindano ya kimataifa Azam wamekuwa wanyonge sana na ndio maana wafanyabiashara wa mpira wanaomba simba aende klabu bingwa ..lakini Sasa Azam inabidi ajipambanue msimu amalize nafasi ya pili, Kisha akatoe ushindani klabu bingwa na...