Search results

  1. official._.dg

    Mkeka Wa Leo Jumapili 16/06/2024 Tunakisaka Kibunda Cha Sikukuu Hivi

    Leo 17/ 06 / 2024 EURO*** °°°BELGIUM { WIN } °°°FRANCE VS AUSTRALIA { BOTH TEAM TO SCORE } °°°UKRAIN { WIN OR DRAW } 0758376440 / 0621058600 Mtadondosha posho humo
  2. official._.dg

    Mabadiliko gani ambayo Simba wanapaswa kuyafanya kwenye kikosi chao?

    Inabidi wapungize sekta ya mdomo. Maana wana maneno kidogo ila action zero. We tupe fungate achana na kina tatu
  3. official._.dg

    Matampi Wa Coastal Union Ni Mbadala Sahihi Wa Lakred Simba?

    Admini achana na kina tatu. Dondosha fungate sehemu ya tatu tunaboeka wana kijiweni
  4. official._.dg

    Ukipata Nafasi Ya Kubadilisha Sheria Moja Ya Mpira Wa Miguu Ungeitoa Ipi?

    Camera za azam situmike kama VAR kwa kuwa magoli mengi yanaibiwa kwa visingizo vya offside na mpira kutokuvuka mstari .... Angali tunaona picha za marudio ya azam hamna offside na boli limevuka mstari.. Marefa wanao oneka kuto elewana na wachezaji uwanjani wapigwe sub kuokoa ugomvi wa aina...
  5. official._.dg

    Ukipata Nafasi Ya Kubadilisha Sheria Moja Ya Mpira Wa Miguu Ungeitoa Ipi?

    Camera za azam zitumike kama VAR magoli mengi yainabiwa kwa visingio vya offside na mpira kutokuvuka mstari..... Refa akionekana kutoelewana na wachezaji uwanjani abadilshwe kabla mpira kuisha kuna siku refa atauliwa uwanjani.. Pitia ile siku gamondi ni basi tu alozuiliwa na wachezaji wake...