Search results

  1. BenleezTrent66

    Zambia 0 Tanzania 1 Mchezaji Gani Amekuvutia Katika Mchezo Huu?

    Lusajo mwaikenda 🔥sema hii TANZANIA ya sasa hata akija ARGENTINA anakaa hapa😁 @BenleezTrent
  2. BenleezTrent66

    Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025?

    Kuna baadhi ya wachezaji katika timu inabidi wapitiwe na nginja nginja😂
  3. BenleezTrent66

    Kijiwe cha watoto wa Jangwani

    Mechi kali, imekuwa na ushindani 💥 Imeleta maana ya kuitwa fainali Golikipa wa AZAM ni kama KOBEL wa jana UEFA😂
  4. BenleezTrent66

    Timu Gani Msimu wa 2023/2024 zimeongoza Kwa kuchana mikeka?

    Simba Celtic Man U Napoli Liverpool Barcelona
  5. BenleezTrent66

    Wangapi wanajua app zinazotoa uhakika za kubeti?

    NAOMBA HII UWAPOSTIE KWNY WHATSAPP CHANNEL WAONE KABISA APP BORA KWA TIPS 1: BETENSURED 2: BET ON AIR 3: FOREBET 4: BET PAPEL 5: GENIUS MASTER TIPS
  6. BenleezTrent66

    Mkeka Wa Leo Jumapili 26/05/2024 Funga Wikiendi Kibabe

    Atalanta anahitaji ushindi Mimi naona tumfate mazima
  7. BenleezTrent66

    Ukipata Nafasi Ya Kubadilisha Sheria Moja Ya Mpira Wa Miguu Ungeitoa Ipi?

    Offside inabidi iwekwe endapo mtu atazidi mwili mzima, sio mtu kazidi kidogo tu inakuwa offside... Inaounguza ladha ya soka