Search results

  1. T J

    Ratiba Ya CAF Zawabana SIMBA, YANGA,AZAM Na COASTAL Usajili Wao

    Sijajua kwa simba, azam, na costal ila yanga naona wako smart sana pia wanania ya kufanya vzr hvy watakamilisha chap
  2. T J

    MWAKINYO Anatuzingua Wapenda NGUMI?

    Watu waliopo nae kwenye jambo hili, naona kama hawatoshi kwa mshkaji, ukiwa na watu sahihi hasa kwenye mambo kama haya, sio rahisi kuona upuuzi kama huu, jamaa pia ajitazame kwa namna nyingine kama mfanya biashara, game ya sasa inahitaji watu smart sana kuendea jambo kama hao watu hana...
  3. T J

    Mmepokeaje Taarifa Hii Ya TFF? Wako Sawa?

    Admin nichagulie tusi zuri zuri nina kazi nalo kwenye hiyo taarifa 😎😎
  4. T J

    Mchezaji Gani Msimu Huu Ametisha Sana Ligi Kuu?

    Binafsi nampa point feisal, licha ya timbwili lake na waajiri wake wa zamani. Wengi walijua atapotea lkn kafanya na anafanya poa sana, me naenda na mtanzania mwenzangu, FEISAL
  5. T J

    Matampi Wa Coastal Union Ni Mbadala Sahihi Wa Lakred Simba?

    Admin mtandao unakusumbua mpaka huelewi nani kipa na nani mwakilisha wa golikipa