Search results

  1. W

    Hii Kauli Ya AHMED ALLY Mmeipokeaje Wana SIMBA? Mnakubaliana Nae?

    Mpaka sasa ni timu ya ushindani tayari aliyeshinda 5 Zanzibar kaja kufungwa 4 hii iliyofungwa 4 ndio ilikuwa inawekewa matumaini makubwa kuwa ndio mpinzani wa karibu wa yanga kwa sasa ila hii iliyokatiwa tamaa imefungwa goli moja tu na wameonyesha mpila mzuri
  2. W

    Hii Kauli Ya AHMED ALLY Mmeipokeaje Wana SIMBA? Mnakubaliana Nae?

    Ni kweli kabisa timu mpya inahitaji muda kikubwa mashabiki tuwe na imani na si kuanza kuitaji timu icheze kwa ubora mkuuuubwa kana kwamba timu ilikuwa pamoja kwa mda mrefu
  3. W

    FULL TIME : DODOMA JIJI 0 vs SIMBA SC 1

    Mechi ilikuwa tafu sana ila ubora wa fredy Kouablan ndio umeimaliza hii mechi kongole kwake