Search results

  1. L

    Kauli Ya Mwigulu Wakati wa Uwasilishaji Wa Bajeti Mmeipikeaje Wana KIJIWENI?

    Watu wengi wanakosa uelewa baina ya ushauri na amri huyu mheshimiwa amesema "natamani kumshauri" sasa ushauri sio amri sasa tatizo hapa liko wapi?
  2. L

    NUKUU 5 Za Mo DEWJI Kwa Wanasimba , Ipi Umeielewa Zaidi?

    Mbona hapo sijaona jipya ndo hayo hayo ya kila siku mi kwa ushauri wangu ningeomba ktk safu ya uongozi arudishwe Haji Sanday Manara kwa hakika Manara alikuwa na sifa flani ktk club ya SIMBA
  3. L

    Hizi Hapa Timu 16 Zitazokiwasha Kagame Cup 2024

    Hakuna Tanzania Bara ni Tanganyika hii Tanzania Bara inatoka wapi? Tanzania inatokana na Muungano wa Zanzibar na Tanganyika sasa hii Tanzania Bara asili yake inatoka wapi?
  4. L

    MWAKINYO Anatuzingua Wapenda NGUMI?

    Huu mpambano ulishavumishiwa kama hautakuwepo lkn wenyewe wakasema kuwa mpambano upo kama kawaida mi nahisi nimpango maalum wa watu kupiga hela tuu
  5. L

    FULL TIME : DODOMA JIJI 0 vs SIMBA SC 1

    SIMBA S.C msimu huu ndio basi tena kimbilio letu sahz ni kifanikiwa kupata nafasi ya pili tuu