Search results

  1. Tyseem

    Mmezionaje Jezi Mpya Za Wananchi Kwa Msimu Wa 2024/2025?

    πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚yan ally kamwe alivyosifia hzi jezi n htr,kumbe n kawaida saaan
  2. Tyseem

    FEITOTO Kwenda Simba Inawezekana Au Ni Stori Za Kupunguza Maumivu Ya CHAMA?

    Kila kitu kinawezekan ila kusema fei ataziba pengo la chama simba hio so kweli kabisa
  3. Tyseem

    Thank You Iendelee Kwa Nani SIMBA SC ?

    Namuona onana kam anafuat ivi
  4. Tyseem

    AZIZ KI vs FEITOTO Nani Tunampa Kiatu Cha Ufungaji Bora Hapa Kijiweni?

    I wish fei achukue ila haina budi azizi achukue
  5. Tyseem

    Shaffih Dauda vs Zaka Zakazi Nani Yuko Sahihi?

    Azam sio kam hawezi kushika nafasi ya pili n kucheza ligi y mabigwa tatiz kubwa la azam ni kwny fan base ambapo hawana watu w kuwalaumu kw chochote,hii kitu inapelekea wachezaj n viongoz kuona saw kweny kla wanachokipata sababu hawapat presha yyte ktka kw mashabiki.for me it's time azam aanze...