Search results

  1. covid_17

    AZIZ KI vs FEITOTO Nani Tunampa Kiatu Cha Ufungaji Bora Hapa Kijiweni?

    Aziz K kapambana sana. Kwanza kacheza dakika chache sana msimu huu. Na amehusika sana kwenye magoli ambayo yalikuwa yakiamua mechi. Ukiangalia mentality ya Aziz ni mtu anaitanguliza timu kwanza kuliko mafanikio yake binafsi. Kiufupi ni kama misimu miwili aliyokaa bongo imetosha kabisa...