Search results

  1. S

    KIJIWENI Kwenu Timu Yenu Ya NDONDO Inaitwaje?

    Chama langu mm ni Masuguru Fc kutoka korogwe Tanga wazee Wa Ball itembee kama Juma Mgunda wana balaa hatari kila ligi wakishiriki kuna vitimu vikipangiwa na hili chama langu vinajitoa 😂😂