Search results

  1. P

    Kwanini Simba ssc msim huu anaenda kumaliza nafasi ya tatu kwenye legea ya NBC!!?.

    1.usajili alioufanya kuanzia dirisha kubwa hadi dogo hujamlipa. 2.ameruhusu kufungwa na yanga ssc nje ndani. 3.kuna baadhi ya game wachezaji walikua hawajitoi kuipambania team ili ipate matokeo chanya.