Search results

  1. K

    Kwanini SHAFFIH DAUDA Anapinga Kurejea Kwa Mo Dewji Uongozi Simba?

    Kama umepata F unaweza sema jamaa yuko sahihi, ila kama una D ndo utaona jamaa ni chambuzi garasa
  2. K

    Kuvunja Mkataba wa Jobe Simba Wanatakiwa Kulipa Million 700

    Kinachoonekana hapa Ngungu na wenzake wanafanya kusud kuchukua wachezaji wenye viwango ambavyo haviendani na klabu ili hapo baadae wamvunjie mkataba wakilipa na wao wapate chochote kitu
  3. K

    MZEE MPILI: NIKO TAYARI FIGO YANGU IUZWE PESA APEWE AZIZI KI ABAKI YANGA

    Siyo kama wateja hakuna, Hiyo Figo yenyewe inapika kazi vizuri?