Search results

  1. M

    Ten Hag abaki Man utd

    Na wachezaji kweli hawatutaki man utd kabisa
  2. M

    Ten Hag abaki Man utd

    Erik ten Hag atabaki kuwa meneja wa Manchester United, uamuzi umeshafanyika.Ten Hag ameambiwa baada ya uamuzi wa mwisho kutoka kwa INEOS. Mazungumzo ya mkataba yatafuata,Ten Hag atakuwa meneja wa Man United kwa msimu ujao. Mashabiki wa man u mnahisi Ten hag atatuonyesha maajabu msimu ujao?
  3. M

    Kijiwe cha Mashabiki wa Manchester United (Red Devils)

    basi hapo itakuwa ngumu kwa greenwood kurudi