Search results

  1. M

    Gerson Msigwa Njoo Utujibu Watanzania Ile Wi-Fi Ya Bure Uwanja Wa Mkapa Mlikua Serious Au Porojo Za Kisiasa?

    Novemba 5 mwaka 2023 ilikua ni siku ambayo kulikua na mchezo wa Dabi ya Kariakoo ambapo klabu ya Simba walikua wakicheza dhidi ya Yanga mchezo ambao wananchi waliondoka na ushindi wa magoli 5 kwa 1 la Simba LAKINI ndio siku ambayo Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro na...
  2. M

    Hii Kauli Ya AHMED ALLY Mmeipokeaje Wana SIMBA? Mnakubaliana Nae?

    Nimewatazama Wapinzani wote msimu huu naiona Simba yetu ikifanya maajabu ya dunia Mpaka sasa Simba ndio timu yenye Wachezaji bora wenye viwango vikubwa mno, kilichobaki ni Mwalimu kutengeneza timu yenye mtiririko, muunganiko na maelewano ya pamoja Eneo pekee linalohotaji nguvu mpya ya Nje ni...
  3. M

    Performance nzuri ya Simba kwenye derby ya 8/8/2024 haiifanyi Simba kuchukua taji lolote msimu huu, labda misimu miwili mbeleni

    Baada ya mechi, nimesikiliza maoni mengi sana, mashabiki wengi wa Simba wanasema, Simba hii imeinalika, sawa imecheza vizuri, lakini nawahakikishia, wataendelea kucheza vizuri hivyo hivyo na bado watafungwa na singida, Azam, KMC au JKT. Unajua kwanini? 1. Simba bado haijapata strikers wa...
  4. M

    Kuna Haja Ya Club Kuja Na Tuzo Zao,Hizi Za Tff Ni Kichefuchefu

    Kuna haja ya club zetu kuwa na award zao kama club ili kuweza ku recognize michango ya wachezaji kwenye msimu husika wa mashindano,,, Kuna wachezaji Wana contribute pakubwa Sana Ila hawawi recognized kwenye tuzo anakuja kuondoka like he did nothing,,,,✍️
  5. M

    KIBU DENIS Uko Wapi? Au Kuna Lingine Hatulijui?

    Kama kuna lingine lipo nyuma ya pazia ambalo hatulijui sawa ila kama ni masuala ya Passport yanajulikana wazi. Mfano leo hii ukipewa pass yako itakuchukua miaka kumi hadi kumalizika muda wake na kama suala la kuijaza basi itategemea na wingi wa safari zako. Ukija kwa mchezaji Kibu Denis ambaye...
  6. M

    Hivi MANULA Si Kapona? Mbona Hayupo Na Simba Pre-Season?

    BADO kesho ya golikipa Aishi Manula haieleweki ndani ya Simba Kwa kuwa mpaka Sasa hajaungana na wenzake Pre- Season inayoendelea Misri. Taarifa zinadai kuwa, ni kama viongozi hawaoni Sababu ya kuendelea naye tena lakini hofu Yao ni Kwamba asije akaenda timu zingine ikiwemo Azam FC ambao wapo...
  7. M

    Je, Baleke Aliihujumu Simba? Wachezaji Wa KiCongo Siyo Waaminifu

    Ukiangalia "efficiency" ya Jean Baleke alipoingia Simba kwa maana ya matumizi sahihi ya nafasi za kufunga magoli, utakubaliana na mimi kuwa jamaa alikuwa suluhisho la matatizo ya ufungaji yaliyokuwa yanaikabili Simba. Jamaa alipokuja alikuwa anafunga magoli magumu sana bila kutumia nguvu...
  8. M

    Simba SC Inasajili Kwa Matokeo Endelevu Na Ya Mafanikio Kwa Miaka Mingi Ijayo

    Leo nasema hapa hamtokuja Kuamini tu Macho na Masikio yenu kwa hii Simba SC mnayoidharau kwa Usajili wake ila Mimi kama GENTAMYCINE nawaambia hapa hapa kuwa tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda kuwa na Mafanikio ya Uwanjani si tu kwa Msimu mmoja bali hata kwa Mitatu au Mitano.
  9. M

    Seleman Matola Kuwa Tena Sehemu Ya Benchi La Ufundi La Simba Ni Kwamba Timu Ipo Palepale

    Nimeshituka kuona seleman matola anaendelea kuwa ni sehemu ya benchi la ufundi kama kocha msaidizi. Sina mashaka na uwezo wa matola , Sina wivu naye , ila simba wangehitaji mabadiliko wangebadili kabisa huu mfumo, what so special kwa matola , makocha karibu nane wameondolewa matola akiwa ni...
  10. M

    Chama Atamfukuzisha Kazi Gamondi Yanga

    Gamondi ni Kocha mkubwa na anao uzoefu wa kufanya kazi na wachezaji wakubwa,siku zote sisi makocha kwenye timu huwa kuna mchezaji huwa anakuwa kipenzi chako kwakuwa anafanya kitu cha ziada,anatumia akili zaidi hata ya maarifa ya mwalimu,na anakuwa na nidhamu,utajikuta unampenda. “Sasa kwa Yanga...
  11. M

    Kwa watanzania wengi mchezo ni soka tu

    Bongo mtu akisikia michezo kinachokuja akilini ni football ️ tu. Hata kelele nyingi na uwekezaji uko kwenye football. Na huko ni full mambo ya usimba na uyanga tu. Jamani dunia imefunguka. Michezo ni mingi sana saivi. Kuna ndondi aka nakozi na Taekwondo mieleka Sarakasi michezo ya...
  12. M

    Usajili Wa Chama Kwenda Yanga -Yanga Hamueleweki, Sijui Mna Shida Gani!

    Salaam Wakuu.. Nashangazwa na hizi kelele za midundiko na kukata viuno tunazopigiwa na wajuaji wa mitaa ya Twiga na Jangwani pale Kariakoo. Hawa wanashangilia leo kumsajili Chama, yule yule ambaye miaka yote walikuwa wakituaminisha ni mchezaji wa mechi ndogo. Ina maana huyu Chawa amegeuka...
  13. M

    Yanga Kumnunua Prince Dube kwa 520M ni hasara

    Tunajua mlikua na maumivu na kisasi cha kunyanganywa mchezaji wenu pendwa Fei Toto, ila mmelipiza kisasi kwa maumivu na hasara kubwa Fei toto aliondoka kwa kiasi cha 100m kiasi ambacho kilikua kwenye kipengele chake cha kuvunja mkataba ana aliondoka akiwa wa moto kwelikweli super star wa timu...
  14. M

    Ni Wakati Sahihi Wa Kanoute Kuondoka?

    Vyanzo kutoka Simba SC vimehakikisha kuwa kiungo Sadio Kanoute ameamua kutoongeza mkataba mpya na yuko mbioni kuondoka. Klabu inaripotiwa kuwa katika mazungumzo ya mwisho kumchukua Augustine Okejepha kutoka Rivers United ya Nigeria ili kuziba pengo lililoachwa na Kanoute.
  15. M

    Usajili Wa Simba Tangu 2019 Hauaminiki

    Kwanini usajili wa Simba HAUAMINIKI? Simba wanaweza kusajili wachezaji 7 lakini atakayeonesha kiwango Ni mmoja au hakuna hivi Hawa jamaa wanatumia mfumo gani kupata wachezaji? Simba kjikite kwenye usajili wa ndani Kama walivyopatikana kina Mohamedi ibrahimu, kichuya, Mzamiru, n.k Usajili ujao...
  16. M

    Tetesi Zote Za Usajili Bongo

    UONGOZI wa Singida Black Stars umeanza kufuatilia kwa karibu saini ya beki wa kulia wa KMC, Abdallah Said Ali 'Lanso'. Lanso alitua KMC katika dirisha dogo la msimu uliopita akitokea Mlandege Zanzibar na kusaini mkataba wa miaka miwili wenye kipengele kinachomruhusu kuondoka akipata timu na...
  17. M

    Wazir Jr Anafaa Sana Pale Simba Sc Kwa Washambuliaji Wazawa

    WAKATI maboresho ndani ya kikosi cha Simba yakiendelea inatajwa kwamba kuna hesabu za kuinasa saini ya mshambuliaji wa KMC, Wazir Junior ambaye ni kinara kwa wakali wakutupia eneo la ushambuliaji. Ikumbukwe kwamba Wazir ndani ya KMC ni mabao 12 alitupia na katika hayo mawili aliwafunga Simba...
  18. M

    Odds 10 Mechi 3 Za Kujilipua

    21:00 | FINLAND: Veikkausliiga VPS Vs AC Oulu Over 2.5 Odds 1.79 22:00 | EUROPE: Euro Scotland vs Switzerland GG Odds 1.82 18:30 | FINLAND: Ykkosliiga KaPa vs Jaro 2 & GG Odds 3.35
  19. M

    Kwani Yanga Na Mambo Ya Kufungiwa Hamjifunzi Tu?

    Kuna wakati hawa YANGA walikuwa wanadaiwa na Mchezaji yani madai yamekuwa mengi, baadae ikatoka taarifa ya BMT kudai kuwa Yanga hawakulipa ada ya Uanachama ya mwaka, baadae ikatoka taarifa ya FIFA kuwafungia Yanga kisa madai, leo tena YANGA anadaiwa, sio afya kwa taasisi kama Yanga, haipendezi...
  20. M

    Story za ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni danganya toto

    Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo. Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa...