Search results

  1. B

    Sibishani tena kuhusu ubora wa Yanga Africans, nimekubali yaishe

    Wanacheza vizuri, wana speed, viungo wazuri, mabeki wazuri, mshambuliaji mzuri tena vifaa vingine kama Baleke walikuwa jukwaani, unabishana na nani sasa. Mtu yeyote anayetoa mapovu kuwa Yanga wabovu, wananunua mechi, wanabebwa huyo sio mtu wa mpira. Hii timu yao hata ukichukia vip sio shida...
  2. B

    Jemedari Mtetee Mchezaji Wako Manula

    Anaandika JEMEDARI SAID ambaye ni Meneja wa mchezaji Aishi Manula TUMESIKITIKA NA TUNAJIANDAA KULIPELEKA SUALA HILI MBELE YA MAMLAKA ZA MPIRA NDANI NA NJE YA NCHI. Tunazungumza na wanasheria wetu kuona namna watakavyoshughulia suala la klabu ya Simba na mchezaji wetu AISHI MANULA kwa kitendo...
  3. B

    Nitachukia kama Yanga watashiriki kumrubuni Kibu na baadae kumsajili

    Nimeona mitandaoni ati team yangu ya Yanga ndo wanacheza hizi drama za kumrubuni Kibu ili kumsajili. Huu sio weledi ni jambo baya na uhuni. Sisi ni watu tushindane katika uhalali sio dhuluma. Kibu aache mambo ya ajabu akatumikie team yake Simba. Simba wamempa heshima wakampa mkataba na kalipwa...
  4. B

    Jezi Mpya Za Klabu Ya SIMBA 2024/2025 Ipi Imekuvutia?

    Hiyo Sanda hapo ndo majanga kabisa
  5. B

    KIBU DENIS Leo Ni Siku Ya 16 Hayupo Kambini

    Mpaka leo Kibu Dennis amekosekana katika kambi ya Simba kwa siku 16. Ikumbukwe kwamba Simba ilifika Misri Julai 8 na inatarajiwa kurejea Dar mwishoni mwa mwezi huu kabla ya Agosti 3 kuwa na tamasha la Simba Day ambalo huambatana na utambulisho wa wachezaji watakaoitumikia msimu ujao.Kuchelewa...
  6. B

    Wana-Simba Tunaujua Mchezo Wa Injinia FEKI Wa Kutupoteza Maboya, Tumekushtukia Na Hatujai

    Simba Nguvu Moja! Tunajua hii sinema ya MAHAKAMA imetengenezwa mahususi kwa ajili ya kuwapoteza maboya timu ya SIMBA ili isi FOCUS na mambo yake muhimu na vile amejua simba ya sasa inaenda ama itaenda kua tishio kubwa sana nchini na afrika, injinia feki na kikundi chake wameamua kuleta...
  7. B

    Huyu Hapa Mrithi Wa Kajula Na Barbara Simba Uwayezu Francois Regis

    UONGOZI wa Simba umefikia makubaliano ya kumwajiri Uwayezu Francois Regis raia wa Rwanda kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, ili achukue nafasi ya Imani Kajula anayejiandaa kumaliza mkataba mwezi ujao. Kajula ambaye ni mzoefu katika uongozi wa mpira, akiwamo kwenye Kamati ya maandalizi ya...
  8. B

    TFF Pamoja Na Viongozi Wa Klabu Za Simba Na Yanga Mjitafakari. Mpira Hauna Siasa, Dini, Rangi Wala Kabila!

    Mada tajwa hapo juu ya husika, tunaomba TTF, Viongozi wa clab za simba na yanga mjitafakari Kwa kitendo kilichofanyika jana katka uwanja wa taifa mnatokosea heshima kuona mnachanganya mpira na siasa. Kwani Kila mtu ana itikadi yake anayoiamini ila suburi uwe nje ya mpira ndo ufanye hiyo itikadi...
  9. B

    Lameck Lawi Kayeyuka SIMBA Anaenda Kucheza Ulaya

    LAMECK LAWI na Coastal Union wapo kwenye mchakato wa mwisho wa kukamilisha vibali vya Beki huyo kusafiri kuelekea nchini Ubelgiji ambapo inatarajiwa atajiunga na klabu inayoshiriki ligi kuu nchini humo ijapo haijawekwa wazi ila vyanzo vyangu kutoka Ubelgiji ni kuwa anaelekea K.A.A GENT endapo...
  10. B

    Ahoua Jean Charles usajili bora zaidi Tanzania

    Sio sababu ni MVP Ivory Coast pekee. Hapana. Hadi sasa tumeshuhudia wachezaji bora Ivory Coast wanatua katika ardhi Yetu. Aziz Ki na Pacome huwezi acha kuwataja - moja ya sajili bora kabisa katika ardhi zetu. Hakuna anayepinga Aziz Ki na Pacome ni wachezaji bora katika league yetu. Sasa...
  11. B

    Mechi 3 Za Odds 8 Wewe Tu

    OLS Oulu vs VIFK (Pick 1/1) Odds 1.88 Vikingur Reykjavik vs Stjarnan (Pick 1 & GG) Odds 3.37 Inter Turku vs TPS (Pick Home Win) Odds 1.37
  12. B

    Sasa Tuone Kama Simba Itakufa.

    Yametimia! Sasa Tuone Kama SSC Itakufa au Haitafanya vizuri Kwa kutokuwepo na Chama. Nawaambia Wapenzi wenzangu wa Simba kuwa sasa tufurahi kwani hakuna tena ubabaishaji eti bila Fulani timu haichezi, sasa WASUBIRI Tuone Kama SSC haitacheza wala kushinda mataji! Hongera SSC Kwa operation hiyo...
  13. B

    Sababu Zinazonifanya Niamini Simba Hatachukua Ubingwa NBCPL 2024/2025

    (1) HAKUNA MABADILIKO YA UONGOZI, nilipoona Try again amejiudhuru na Mo dewji kuja kumtambulisha tena kuwa mjumbe hii ilinifanya nione kabisa hakuna serious yoyote bali wajomba wanapumnzishana tu ili kulinda masilahi yao binafs katika timu, kwani ikumbukwe Mo dewji alimuachia kiti try again na...
  14. B

    Ushauri wangu kwa viongozi wa Simba kuhusu Clatous Chota Chama

    Triple C bado ni mchezaji mzuri sana na kwa timu inayohitaji makombe ama kuwa na kiu ya mafanikio haiwezi kumtema mchezaji kama Chama. Maneno ya mashabiki kuwa Simba iachane na Chama akaangalie maisha mahali pengine ni maneno ya watu ambao wamejiunga kwenye tasnia ya soka miaka ya hivi...
  15. B

    Mimi Mkeka Wangu Nimeweka Hivi Leo

    Kingston City vs Brunswick City Over 1.5 Bulleen vs Melbourne City U21 Over 1.5 Landskrona vs Orgryte Over 1.5 Orebro Syr. Vs Karlstad Over 1.5 Skala Itrottarfelag vs 07 Vestur Sorvagur Over 1.5 Albania vs Spain Over 1.5
  16. B

    Kuna wachambuzi hapa bongo huwa siwaelewi linapokuja suala la mpira, je! Ni mimi tu!

    Hapo nyuma kulikua na mechi za ku Qualify kombe la dunia, na mashindano mengine, na nadhani wengi wenu mliangalia mechi hizo, ila baada ya mechi kuisha sijaona timu kubwa kama Morocco n.k tukiwekewa matokeo, na hii sio mara ya kwanza kwa timu za kiarabu kutowekewa matokeo pale tu wanaposhinda...
  17. B

    UEFA EURO ; German vs Scotland

    Mechi ya kwanza ya mashindano ya uefa euro leo saa nne usiku, wachezaji wanao wakilisha nchi zao ndo hawa; Germany: Neuer; Kimmich, Rüdiger, Tah, Mittelstädt; Andrich, Kroos; Musiala, Gündoğan, Wirtz; Havertz Scotland: Gunn; Ralston, Porteous, Hendry, Tierney, Robertson; McTominay, Gilmour...
  18. B

    Kwanini SHAFFIH DAUDA Anapinga Kurejea Kwa Mo Dewji Uongozi Simba?

    Dauda amepinga uwepo wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, kwa kusema Simba inatakiwa kuwa ya Mwenyekiti Mangungu. “Mashabiki wa Simba waelewe hakuna mtu ambaye anapinga jitihada zilizofanywa na Mohammed Dewji , kila mtu anatambua mchango wake, Mjadala ambao tunajadili ni uhalali wa bodi ya Simba “...
  19. B

    Mechi 4 za Magoli Yaani Over 1.5

    Wollongong Wolves vs Sutherland Sharks Over 1.5 Cooks Hill United vs New Lambton Over 1.5 Sydney Utd vs NWS Spirit Over 1.5 Lake Macquarie vs Adamstown Rosebud Over 1.5
  20. B

    Tanzania yachaguliwa kuwa chuo cha mafunzo ya VAR

    Tanzania ndio nchi pekee iliyoteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kutoka ukanda wa CECAFA kuwa kituo cha mafunzo ya VAR. Kwa mujibu wa taarifa ya TFF, vituo vingine ni Afrika Kusini, kutoka ukanda wa COSAFA, Senegal kutoka ukanda wa WAFU A na Ivory Coast kutoka ukanda wa WAFU B.