Search results

  1. Z

    MZEE MPILI: NIKO TAYARI FIGO YANGU IUZWE PESA APEWE AZIZI KI ABAKI YANGA

    Kiukweli hatuna namna ya kufanya kwasababu vilabu vilivyoweka pesa ni vikubwa na uchumi wao uko juu ila hapa ndio muda wetu kujitathimin na kupambana na vilabu hivi kwa kujipanga na sisi kuweza kufikia uwezo huo hata wa kumbakisha mchezaji tumefikia hatua kubwa kupandisha vilabu vyetu kwenye...