Search results

  1. B

    Eti Wana Kijiweni Kwanini Ni Simba vs Yanga Na Sio Yanga vs Simba

    Mkubwa apewe Heshima yake we're the best team than uto
  2. B

    Kwa Orodha Hii , Nani Anastahili Ushindi Wa Tuzo Ya Ballon d'Or 2024?

    Hapana Hastaili kwa upande wangu wachukue waliobeba makombeee yote makubwaaa kama EURO LEAGUE NA UEFA mtu kama Carvajal ana kila kituuu
  3. B

    Kwa Orodha Hii , Nani Anastahili Ushindi Wa Tuzo Ya Ballon d'Or 2024?

    Lautaro Martinez au Dani Carvajal Martinez kabeba copa america na ni mfungaj Bora ligi kuu na kabeba kombe la ligi Dani Carvajal kabeba la Liga kabeba Euro na Spain na pia kachukua UEFA champions league so kati yao sitakua na dought
  4. B

    Rekodi Za Leonel Ateba Mshambuliaji Mpya Wa Klabu Ya Simba

    No mapema Sanaa kusema Ayoub si N mapema Sanaa kusema Ayoub si Bora kwa Camara ivooo nazani upande wangu Freddy aende n mda was wazee kuipisha timu yetuuu pendwaaa na upande ATE A ngoja inyesheee tujue wapi panapovujaaa
  5. B

    Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na Kibu Denis Ungemwambia Nini?

    Admin naona umeaga kwambaaa Leo kisasi changu hamnaaa amaaa 😭😭😭😭😭😭 ustufanyie ivooo
  6. B

    Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na Kibu Denis Ungemwambia Nini?

    Loooh ila wakongo kibu mayele inonga ngoma na airport na wengine weng tu uwaga ni akili kisoda
  7. B

    FULL TIME: FC AUGSBURG 2 YANGA SC 1 Mmeuonaje Mchezo Huu Wananchi Wa Kijiweni?

    Kwan si mmesema tuzungumzie game ya yanga na ya mambo ya Simba yameingiajeeee
  8. B

    Hivi MANULA Si Kapona? Mbona Hayupo Na Simba Pre-Season?

    Shida ni simba kufanya maamuzi ni wagumu ukitaka kuamua amua mapemaaa
  9. B

    Ahoua Jean Charles usajili bora zaidi Tanzania

    Yah simba ya msimu ujao naiona ikiwa mbali sanaaa
  10. B

    Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi

    Muhimu zanzibar finest ni muhimu sana kwetu na bado umri unamruhusu kuchezea clabu kubwa zaidi hivyo akujeee mbona anachelewa
  11. B

    Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi

    John Raphael Bocco papaa captain fantastic kabisa kutokea nchini nidhamu yake magoli aliyoyafunga maisha yake nje ya uwanja na ndani ya uwanja ameacha alama kubwa sana katika soka la nchi yetu na ameacha kazi kubwa kwa vijana kuvunja rekodi zake NI HIVO TU KWA LIVING LEGEND PAPA JOHN RAPHAEL...
  12. B

    Mkeka Wa Leo 30/05/2024 Odds 47

    Kamkeka flani hivi kenye unyama ndani ake