Search results

  1. S

    Waraka Mzito Wa Hamisi Kigwangalla |"Tunaingilia Kati Tutaunda Kikosi Kazi"

    Kwa mtu mwenye ueledi angejaribu na kuorodhesha hata gharama Mo ame incur kuiendesha timu wakati wote yuko na timu. Nadhani hii ni mihemko tu na upepo wa kuweka vitu sawa, Mo tangia amejiweka pembeni kiutendaji mambo yameenda kombo sana na ni 100% hawa viongozi ndio wameleta hii shida na...
  2. S

    Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi

    Mtu wa mfano mzuri wa kuigwa kwa wachezaji wengi wazawa hasa vijana. Nidhamu, bidii, juhudi na upambanaji katika umri sahihi na bila kujisahau huleta mafanikio katika kila hatua. Clement Mzize, Ladack Chasambi, Najim Mussa, Edwin Balua na wengineo wana cha kuchukua toka kwa John Boko tangia...