Search results

  1. C

    Thank You Iendelee Kwa Nani SIMBA SC ?

    Thanks nying sijui kam watawez kutengeneza tena timu kam hii ya thanks wenda inayokuja ikaw mathanks ๐Ÿ™‚๐Ÿ™ƒ team poleni watani
  2. C

    Simba Waigawe Mara Mbili Simba Ya MO Na Ya Mangungu

    Mimi nakiri najisikia raha watani wanavyoteseka hat wakigawanyika timu ya fred na jobe ๐Ÿ’š
  3. C

    Kuvunja Mkataba wa Jobe Simba Wanatakiwa Kulipa Million 700

    Yaan simba wanatakiwa kumlipa miliion 700 jobe ili mkatab uvunjwe jmn kwa kaz gani aliyofanywa wanasimba poleni๐Ÿ’š๐Ÿ’›
  4. C

    NUKUU 5 Za Mo DEWJI Kwa Wanasimba , Ipi Umeielewa Zaidi?

    Sitaacha simba leo wala kesho saw hiy simba ya kina jobe na barbarosa sem wanatian moyo wanainch hatuna baya tunawasubiri๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’š
  5. C

    Zambia 0 Tanzania 1 Mchezaji Gani Amekuvutia Katika Mchezo Huu?

    Mimi bado kijana wetu mudathiri anatup raha assist kam zote na assume ndo akutane na bellighamu kombe la dunia๐Ÿ™‚
  6. C

    Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025?

    Aah kwa mm naona kwanz ningeenda chimbo kusaka vijan wanaochipua ili nikiwapandisha wawe wa moto sana kam kocha wa real madrid alivyofany kwa kin vinicious wageni hao wengn watakuj baadae
  7. C

    Kwa Yanayoendelea Mtandaoni Kuhusu SIMBA Wewe Maoni Yako Ni Yapi?

    Aah kwa mm naon waendlee kudiscuss jinsi ya kununua wachezaji wa high quility na sio wauz sumu kam .........๐Ÿ™‚๐Ÿ™ƒ
  8. C

    Kijiwe cha watoto wa Jangwani

    Yaan mm kwanz nilivua jezi maan yule kipa waooh alikuwa ananichangany so poa lkn bacaa sijui๐Ÿ’š๐Ÿ’›