Yaani waandishi wa bongo ni wapuuzi sana hasa manara yaan amepewa mwili lakn akili ni 0% evi anapataje nguvu ya kumbeza feisal kama sio upuuz yaan Leo hii kwenye soka ILI upate attention ni lazma umtaje feisal kweli jaman? Wakat Kuna vingi sana kwenye soka ambavyo ukijadili vtaleta positive...