Search results

  1. K

    Wazir Jr Anafaa Sana Pale Simba Sc Kwa Washambuliaji Wazawa

    Huyo hawezi kuchezea timu kubwa km Simba , Yanga au Azam kwa sababu uwezo alio nao hawezi kuwa mchezaji huru kiwanjani tofauti na anspochezea timu km kmc na zinginezo nafikiri watu wa mpira watajua Nini na maanisha na ndiyo maana hata akina Nkane uliwaona walivyopoteana pale yanga
  2. K

    Kauli Ya Mwigulu Wakati wa Uwasilishaji Wa Bajeti Mmeipikeaje Wana KIJIWENI?

    Hupaswi kuweka utani unapowasilisha bajeti ya nchi !
  3. K

    Mkeka wa Leo Ijumaa 14/06/2024 Tunaanza Wikiendi Kibabe

    Hakuna gg hapo Scotland hspati goli hapo
  4. K

    Kijiwe cha TFF

    Huoni huyo ana mechi 7 na kuwa mchezaji Bora hskukuambia vhengiwi na matokeo tu Kuna vigezo pia vya Ziada ! Exactly! Mchezaji mda wote anazomewa naye ni binadam
  5. K

    Kijiwe cha TFF

    Huoni huyo ana mechi 7 na kuwa mchezaji Bora hskukuambia vhengiwi na matokeo tu Kuna vigezo pia vya Ziada !