Search results

  1. S

    Darasa La Bure Kwa Wana KIJIWENI Kuhusu Sakata La Kibu

    Hata hao viongozi wa Simba wanajua kila kitu kuhusu Kibu ila wanashindwa kuweka wazi kuhofia hasira za wanachama na mashabiki wao,,,,,haiwezekani mpaka mchezaji mpaka anasafiri ndio watoke mbele waongee na umma,,hzi ni propaganda tu.
  2. S

    Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na Kibu Denis Ungemwambia Nini?

    Ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine,,,hata kama alitaka kwenda ulaya sio kwa stahili hiyo
  3. S

    Haji Manara Acha Dharau Na Dhihaka Kwa Ali Kamwe , Yanga SC Imefaidika Nae 'Kibrandi' Kuliko Ulivyokuwepo

    Mm naona angeachana na soka tu kwasababu anakipaji kikubwa sana cha mipasho so angejiunga na akina Isha mashauzi aimbe taarab
  4. S

    Sababu Zinazonifanya Niamini Simba Hatachukua Ubingwa NBCPL 2024/2025

    Hakuna wa kukaa pale kaka coz tayari wameshaanda ulinzi kwa ajiri yao ndio maana unaona anatoka kujikosha kwa wanachama halafu baadae anarudi tena Acha kujiumiza akili kaka,Siasa,biashara na maslahi binafsi ndio vinavyosababisha timu ifikie hapa,,wakisharidhika na kufaidika ndio wataaanza...
  5. S

    Ni Wakati Sahihi Wa Kanoute Kuondoka?

    Hana baya ila muda si rafiki kwake kwa sasa ndani ya simba
  6. S

    Kuhusu Lameck Lawi Tuwaamini SIMBA au COASTAL UNION?

    Inawezekana pia Simba wamemsajiri mchezaji kupitia wakala wake badala ya kufata taratibu,so wamemalizana na wakala wanajua wakala atamalizana na mchezaji pamoja na club.
  7. S

    Wazir Jr Anafaa Sana Pale Simba Sc Kwa Washambuliaji Wazawa

    Anafaa,ila kwa ukubwa wa timu inayomhitaji na malengo ya mashabiki dhidi ya timu yao kipindi hiki cha usajiri na matarajio waliyonayo,,,,hafai kwenda msimbazi coz timu IPO kwenye presha kubwa na presha hiyo itapelekea yeye asifanye vizu.ri
  8. S

    USAJILI SIMBA: Serge Pokou Anasa Simba

    Ni jambo zuri lakini kamati ya usajiri ingeangalia kwanza sehemu yenye uhitaji wa lazima kwenye timu sio kutubabaisha
  9. S

    Ratiba Ya CAF Zawabana SIMBA, YANGA,AZAM Na COASTAL Usajili Wao

    Uzalendo bila mipango ni kupoteza muda,halafu hayo mambo ya uzalendo ndio yanayofanya mpira wetu usisogee na kupiga hatua
  10. S

    Yanga Sc, Azam Fc Kwa Kanuni Hii Caf Muwe Makiniā€¦Simba No Stress

    Kama wanahitaji kufanya vizuri wafanye usajiri mzuri na sio wa kukurupuka