Katika maisha Kuna kufeli/kukwama, na unapokwama unatakiwa utafutie chanzo ni nn hadi ukakwama, kwahiyo pale Simba watafute chanzo Cha wao kulefi ndio mambo mengine yafate, wakianza kulaumiana hakuna kitu kitabadilika, ππππ ila niwe mkweli nafurahi wanavoteseka wataniπππ,