Watanzania wengi hatuna elimu ya uchumi na fedha, vitu vinavyoifelisha simba ni Mo,na uongozi wa simba, yani timu ilitakiwa iwe na kiongozi mkubwa mmoja tu, ila simba mala mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi, mwenyekiti wa wanachama,raisi wa heshima sasa kati ya hao watatu hajulikani mkubwa nani...