Search results

  1. De hexane jr

    Unataka VAR Vipi Kuhusu Miundombinu?

    Yani Tz ni kichwa cha mwenda wazimu unawaza VAR badala ya kuboresha miundombinu ya viwanja Kwahiyo Pale MEJA JENARALI ISAMUYO STADIUM napo inafungwa VAR🤣🤣🤣🤣🤣
  2. De hexane jr

    Kuna wachambuzi hapa bongo huwa siwaelewi linapokuja suala la mpira, je! Ni mimi tu!

    Wachambuzi wa bongo ushabiki na unazi ni mwingi katika soka kuliko kazi Wengi wao hawatumii weredi waliousomea na kuupata huko vyuoni badala yake wanakuwa machawa na kutumiwa na vilabu kuipotosha familia ya mpira.
  3. De hexane jr

    Kwanini SHAFFIH DAUDA Anapinga Kurejea Kwa Mo Dewji Uongozi Simba?

    Anatumiwa na watu huyooo Kwakuwa watu tunamfuatilia ndo maana upande wa pili wanaamua kumtumia ili atuvuruge kwanza kabisa tunajua kuwa @ShaffihDauda ni mwana utopolo lialia Hivyo sisi tuliosoma Cuba tayari tunaelewa kuwa anatupoteza maboya na hiyo ramani ya mchongo anayotucholea kitaaaambo...
  4. De hexane jr

    Tukiacha Unazi tuwe wakweli, je ni nani anayechezea Brand ya Simba hivi sasa bila makubaliano ya kimkataba yenye uwazi na yanayoeleweka?

    Hakika sisi kama maahabiki tunabaki njia panda hatijui nani mkweli na nani anatudanganya Kikubwa waweke mambo hadharani tumjue mbaya ni nani anaye tuchafuria BRAND yetu ya simba #Tunapitiamengihukumtaaninivilehawajuitu