Search results

  1. K

    Seleman Matola Kuwa Tena Sehemu Ya Benchi La Ufundi La Simba Ni Kwamba Timu Ipo Palepale

    Kama kweli walimaanisha kuunda timu upya matola hakupaswa kubaki pale kwa sababu ni mtu ambae awepo asiwepo hakuna kinacho pungua wala kuongezeka mara kadhaa aliachiwa timu baada ya makocha kuondoka lakini mara zote amekua akifanya vibaya, apewe timu ya vijana au aangalie ustarabu mwingine
  2. K

    Waraka Mzito Wa Hamisi Kigwangalla |"Tunaingilia Kati Tutaunda Kikosi Kazi"

    Huyo bwana mandevu inajulikana wazi kabisa bado ana kisirani cha kunyimwa mkopo wa pikipiki na muhindi ndio maana kila timu inapofanya vibaya anaona amepata nafasi ya kutolea hasira zake timu ikiwa inafanya vizuri huwezi kumuona kabisa akae kwa kutulia tuu 🚮🚮