Search results

  1. King Walter

    FT : AL Ahli Tripoli 0 Simba SC 0 | Mchezaji Gani Amekukosha Leo?

    Simba Game ijayo tusipo kuwa makini wale jamaa watatuadhibu Leo D Fernandez hakuwa na mchezo mzuri sana hivyo hivyo kwa Mutale na balua Game ilimuhitaji creator mzuri ili tumalize mapema mchezo A.A tripol Hawa jamaa Wana Mpira mzuri pass zao Mpaka mikimbio hasa kwa mawinga *Kuna winga mmoja...
  2. King Walter

    Tabiri Matokeo Ya Magoli Leo Ngao Ya Jamii Yanga SC vs SIMBA SC

    Kwa mechi ya Leo DNB ni option kubwa Zaid kwasababu timu bado hazifahamiani na tusibebwe na ushabiki kuwa yanga anashinda kama wanavyo sema sijui 5+ au 3+ kumbuka simba ya sasa ni timu Mpya na tofaut hawajaonesha pre season yao kwahy bado Simba ya fadlu haijafahamika vizuri mfumo yake ila yanga...
  3. King Walter

    FT : SIMBA SC 2 APR 0 : Umeionaje Klabu ya Simba? Kipi kinatakiwa kuongezwa na ushauri wako ni upi Kwa Kocha Mkuu Fadlu Davis?

    πŸ“ŒAwesu Awesu πŸ”₯ πŸ“ŒD FERNANDEZ πŸ”₯ D Ngoma bado NI nzito na Simba kuna kitu kidogo sana cha kurekebisha kocha kazi aliyo nayo ni katika safu ya ukabaji kuongeza kitu. πŸ“ŒJ Mutale Kasi nzuri na NI mwepesi kwa kupandisha mashambulizi Simba ya sasa ipo vizuri na tusiongee kwa ushabiki wa simba na yanga...