Search results

  1. Roy Creation

    Tukio Gani Ushawahi Kukutana Nalo Kwenye Viwanja Kama Hivi Likakuacha Hoi?

    Kuna mwamba Alifunga goli la kusawazisha akavunjika mguu na hajaguswa kwenye matuta kipa kapangua penati ya mwisho kazimia ilikua fainali Ng'ombe CupšŸ¤£
  2. Roy Creation

    Eti Wana Kijiweni Kwanini Ni Simba vs Yanga Na Sio Yanga vs Simba

    Always Lady is first msinitukane lakin
  3. Roy Creation

    Kwa Orodha Hii , Nani Anastahili Ushindi Wa Tuzo Ya Ballon d'Or 2024?

    Rodri anastahili hii tuzo mark my words kwa exceptional performance aliyoonyesha both club na national Team
  4. Roy Creation

    FT : Vital'O 0 Yanga SC 4, Wananchi Mna Lipi La Kusema Baada Ya Mchezo Huu?

    Kabla cjarudiana na Vital'O naomba mechi ya Kirafiki na Kolowizard ili vijana wachangamshe damu kidogo maana sio mechi ya kuikalia kambi nicheze tu na makolo
  5. Roy Creation

    Unamtania Kwa Jina Gani Rafiki Yako Ambaye Hashabikii Timu Unayoishabikia?

    kwa wale wanangu wa simba wote ni MADUNDUKA
  6. Roy Creation

    Mchezaji Gani Imekuuma Sana Kukosekana Kwenye Kikosi Cha Msimu?

    where is Pacome kwani Aucho amewakosea nini Tifuatifua kila mwaka top performance ila haonekani
  7. Roy Creation

    Ratiba Kamili Ya Yanga Kujiandaa Na Msimu wa 2024/2025 Umeionaje?

    iko unyama sana dadeki tukirudi ni kumkanda kolo-wizard na Magoma wao
  8. Roy Creation

    Yanga Kumnunua Prince Dube kwa 520M ni hasara

    unaangalia na anaocheza nao bhana mbna dube ni mfungaj mzuri tu huku Chama kule Pacome nyuma kuna aziz kidogo tu kuna maxi anachungulia unaachaje kufunga mbona Guedowski alifunga na ubovu wake
  9. Roy Creation

    Kuzuiwa na polisi kwa mkutano wa wanachama wa Simba, ni mpango wa Yanga na sio Mangungu

    Yanga kuhusika ni uongo coz hata kama polisi ni shabiki wa Yanga from nowhere hawezi kuzuia kitu cha simba bila order maalumu Yanga tuko busy na kitabu chetu cha Historia inakuaje tukawazingue Madunduka