Search results

  1. B

    Jemedari Mtetee Mchezaji Wako Manula

    Manura manura manura tatizo lake anajikuta mkate na hajui kuwa kuna muda unaweza ukaota MUCOR ama Black breed moulds. Kamemponza kajina ka Tz one.
  2. B

    Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na Kibu Denis Ungemwambia Nini?

    Kibu denisi akili sufuri, karubuniwa siyo bure. Kama ni kweli katoroka, basi anue anaharibu title yake hajuna club itamwamini na kusain kandarasi
  3. B

    Ahoua Jean Charles usajili bora zaidi Tanzania

    Wachezaji wazuri, tatizo ni mifumo ya makocha
  4. B

    Tetesi Zote Za USAJILI Hizi Hapa

    Tushazoea simba sc kuachia vyuma na kuleta shaba, inonga hakieleweki, che malone nae hakieleweki sasa unafikiri nini kinafata.