Search results

  1. Shekhan

    Performance nzuri ya Simba kwenye derby ya 8/8/2024 haiifanyi Simba kuchukua taji lolote msimu huu, labda misimu miwili mbeleni

    Hatutaki baadae uje kutuletea makala ndefu kukisifia kikosi cha simba Ni suala la mda Maana timu ni mpya ni ndio kwanza ina wiki nne Acheni ujuaji na ukweli usemwe Naiona simba ikifika mbali sana pindi itakapopata mechi kadhaa za mashindano🦁
  2. Shekhan

    FT :Yanga 2 Red Arrows 1 : Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Mchezaji Gani Amekuvutia?

    Katika matamasha mabovu kuwahi kutokea katika historia ya mpira hili ni mojawapo Very Unprofessional Sijui wanatuchukuliaje yaani Mimi nakaa Chanika nafikaje nyumbani muda huu😔😟
  3. Shekhan

    Simba wakimpa Thank you CHAMA ndo nitaamini wako Serious na Mabadiliko

    Kijiwe leo jumamosi kimepoa vibaya mnoo😂🤭