Mpira wa Tanzania ni drama, unapoiponda simba ya leo usisahau simba ya miaka 4 ago, na unapoisifia yanga ya ya leo usisahau yanga ya miaka 5 ago. So what next???, usije ukaitabiria miamba hii miwili may be umejua mpira jana. Jiulize kitu gani kiliijenga simba imara na kipi imeidhoofisha??? Kitu...