Search results

  1. V

    Performance nzuri ya Simba kwenye derby ya 8/8/2024 haiifanyi Simba kuchukua taji lolote msimu huu, labda misimu miwili mbeleni

    Katika msimu ambao Simba hata poteza game hata moja ni huu hapa.✍️. Beki ambazo Nina wasiwasi nazo labda kapombe na inspector maana Hana speed ya kurudi kwa Kasi..lakini kuhusu kikosi kipo vizuri sana sema mawasiliano Haina ya wachezaji haujakaa vizuri
  2. V

    Mo Dewji Tafuta STRAIKA Wa Maana Umalize Kazi Uliyoianza

    Kuhusu striker Mimi naona tupo vizuri...shida IPO kwenye winga anaejua kuforce...mwanzoni tulikuwa na kibu ila kwa saivi amepungua kiwango kidogo..kwa upande wa balua namwenyewe bado hajakidhi vigezo vya winga wanavyotakiwa...ila Kuna kina awesu, karabaka nao Hawa pia bado sana..kwa upande wa...
  3. V

    Mmezionaje Jezi Mpya Za Wananchi Kwa Msimu Wa 2024/2025?

    Jezi utazani mkia wa tausi au vitenge 🤔...mtaji kazingua sana 🥲😂
  4. V

    Ujue Mchezo Wa Aviator Au Kindege Na Siri Zilizojificha Nyuma Yake

    Mar mia ubet na sio kucheza aviator ✍️📌
  5. V

    Mkeka Wa Leo 06/07/2024 Wa Magoli Pekee

    Hakunaga odd za uhakika..wote tunabashiri tu.✍️
  6. V

    Huyu Ndie Kocha Fadlu Davids Anayetajwa Kuwa Kocha Mkuu SIMBA SC

    Huyu ni PEP GUARDIOLA wa bongo.✍️
  7. V

    FEITOTO Kwenda Simba Inawezekana Au Ni Stori Za Kupunguza Maumivu Ya CHAMA?

    Acha abaki Azam auze ice cream tu..Simba tunachukua vyuma vipya ambavyo havijulikani