You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser.
-
C
Msipuuzie wakuu hii kweli mwanzoni unaanza unakula ila ikifika kama mara 3 hvi unaanza kukunyutwa wewe aisee
-
C
Jamani nataka kujua Mchezaji wa ujerumani alie fanya faulu akiwa wa kwanza jana ni nani make kuna kamkeka niliweka adi sasa naona bado ipo active
-
C
Jamani naomba kusaidiwa mala moja kwenye mechi ya ujerumani na Denmark joshua kimmich ndo kafanya faulu akiwa wa kwanza au