Search results

  1. L

    Huyu Ndie Kocha Fadlu Davids Anayetajwa Kuwa Kocha Mkuu SIMBA SC

    Yaan huko kwenye ligi mbali sana, yaan anaenda kuuponza kwenye ngao na hapo ndo utakua mwisho wake kwenye ardhi tukufu ya Tanzania NB:: Niko nimekaa pale 👉 Nakunywa soda bard, muda ukifika tutaongea lugha Moja tu😂
  2. L

    Yanga Kumnunua Prince Dube kwa 520M ni hasara

    Inategemea na timu Gani anacheza, Hapo yanga atafunga goli 20+, dube ni mtu na nusu tatzo lilikuwa ni timu aliyokuwepo, sasa timu msimu mzma mission yake inakua ni kushika nafasi ya pili na hapohapo pia mshambuliaj anaambiwa "usiifunge timu Fulani" alaf unategemea awe top scorer wa ligi 😁...