Search results

  1. dj snake66

    Sasa Tuone Kama Simba Itakufa.

    Binafsi napongeza viongozi kwa maamuzi magumu na yenye tija kwa Simba. Nimefurahi Chama kuondoka Simba, ili aipe Simba nafasi ya kutengeneza upya muunganiko wa wachezaji wengine ambao watakuja kuipa timu ubora kama wa mwanzo 💥 Hatumdai! 🐒 #NguvuMoja🦁