Search results

  1. K

    Mmeshinda lakini mna furaha?? Yanga Pointi 7 nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi

    Big point mudathir leo kama hakuwa mchezoni mpira unaowewe na unanyang'anywa kweli, azizi ki Nae sijui ni Presha ya mchezo.....kunawakati wamechezewa kama wao ndio wagen....mmh
  2. K

    Chelsea ilifunga mabao mawili katika mchezo kwa mara ya kwanza 2023 na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa

    Uchezaji haukuwa wa kushawishi kutokana na Dortmund kuwa mmoja wa wapinzani rahisi ambao wangeweza kupata lakini ili klabu hii iendelee wanahitaji kocha ambaye anaweza kuelekeza hamu hiyo ya kufanikiwa kwa wachezaji na sio Graham Potter.
  3. K

    Tumeshinda lakini hatuna furaha papatupapatu

    Simba hii presha tupuu ikiongoza unaogopa ikiongozwa unaogopa, quality imepotea kabisaa
  4. K

    Tupostiee mkeka wako tunakupostia mikeka yetu

    Fuatilia kwa makini usiweke zote chagua moja baada nyingine utakuja kunishukuru ▶Saudia Arabia °°°°°°°°°°°°°°°°°°°° ▶Najran🆚Al Ahli Jeddah ▶X/2 Both team yes 28.56 ========================= ▶Slovenia °°°°°°°°°°°°°°°°°°°°° ▶Nk Primorje🆚NK Zavrc ▶1/1 20.14 ========================= ▶Egypt...
  5. K

    Meneja wa Chelsea Potter ana baadhi ya wachezaji wanaomuumiza kichwa kuelekea mechi ya UEFA dhidi ya Borussia Dortmund usiku wa leo

    Meneja wa Chelsea Graham Potter ana baadhi ya wachezaji wanaomuumiza kichwa kuelekea mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Borussia Dortmund usiku wa leo. Reece James ameimarisha kundi baada ya kurejea mazoezini kufuatia kujiondoa katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Leeds kupitia msuli wa paja...
  6. K

    Barcelona wameshinda michezo yote saba ambayo Lewandowski amekosa msimu huu

    Barcelona wamepoteza mechi 2 pekee msimu huu hivyo ni upotoshaji kidogo eh? 16 clean sheets, 8 tu waliofungwa na 9 pointi mbele. Sababu kubwa ya Lewa ambaye ana mabao 15 katika mechi 20 za ligi. Jumla ya mabao 25 msimu huu.
  7. K

    SWALA LA FEI WENGI WANALIJADILI KWA ANGLE YA KISHABIKI

    Zamani Nilikuwaga Nadhani Ukiachana Na FEISAL Kuwa Mchezaji Wa Yanga Atakuwa Ni Shabiki Mkubwa Sana Wa Yanga Kumbe "NILIKUWA NADHANI TU"
  8. K

    Nyota wa Real Madrid alishtukia kiwango chake dhidi ya Real Betis

    ifike muda muwe wavumilivu s sana labda kama ni mdogo sana! Camavinga ana 20 ila kazi yake inaonekana, mentality ya mchezaji ye mwenyewe inatakiwa kua juu, pressure iko siku zote za maisha yenu!!
  9. K

    Man United tumepigwa kipigo cha aibu sana

    7 hazijawahi kuwa chache. Nadhani huyu coach bado hajajua kuna games zinahitaji approach tofauti. Na mara nyingi games hizo huwa na wachezaji wake. Ni vizuri huenda anaendelea kujua this is premier league. One approach can never work in every game.
  10. K

    Sakata la Fei linazidi kuleta mvurugano

    Taasisi haingozwi kwa MOYO inaongozwa kwa AKILI. Maamuzi ya leo yanatengeneza hadidu za rejea za maamuzi ya mbele. Wewe siku ukipewa uongozi YANGA itapata hasara na hakuna mchezaji ataheshimu CLUB. Wewe hata kuongoza hili TAWI hufai.
  11. K

    Yanga nao wametinga Robo fainali FA

    Yanga bado, kunatatizo katika eneo zima mpira ya kona angalia mechi na mounastirr, bamako na mechi ya leo na prisons yaan ni poor marking, zaid kocha aliangalie hili kwa ukubwa wake maana itakuja kuigharimu timu hususa katika mashindano haya ya kimataifa maana kuna wachezaji wazuri zaidi na...
  12. K

    Clement Mzize ana kipaji sana Yanga wampe nafasi sasa

    Kesho na keshokutwa utakuta Mzize nae anasema Mil4 ndogo mara Mama yake aite waandishi uchwara aseme Yanga ilikuwa ikimtesea mwanae, Hakika Shukran ya Punda Mateke😢
  13. K

    Yanga walistahili Alama tatu lakini hata hii mojan kimahesabu ni nzuri pia

    Yanga wamekuwa kwenye form nzuri sana wakicheza kwenye viwanja vya ugenini, japo sio kila mara wanapata matokeo ila uwezo wao wa kumiliki mpira na kucheza kwenye falsafa zao upo pale pale. Msimu huu kwenye michuano ya kimataifa Yanga kacheza away mechi 4, Al Hilal, Club Africain, US Monastir na...
  14. K

    SIMBA VS AZAM, mechi nzuri, iliyopungua ladha

    SIMBA VS AZAM, mechi nzuri, iliyopungua ladha. Mpira umechezwa na timu zote kwa ari na hali ya juu sana. Watazamaji bila shaka walifurahia mchezo, isipokuwa hizi timu zimetupunguzia ladha ya mchezo kwa uchache wa magoli yaliyofungwa, ambapo kwa mashambulizi yaliyofanywa na mchezo ulivyokuwa...
  15. K

    Kocha wa ball Pro Nasser Nabi

    Kocha wa ball naona anataka kumsuka Mudah awe kama fei kwenye namba 10 Huyu prof kwelii maana hamna aliyetegemea Mwamnyeto kuanza Wala Mudathir kuchezeshwa namba 10 Hoja ya busara ya Nasserdine Nabi! Kubadili hadi safu mseto ya kiungo kati ya 4-3-3 na 4-2-3-1 kumekuwa jambo la kubadilisha...
  16. K

    Tutazamie match ya leo Barcelona vs Man united

    As long as Weghorst is available I believe United have a chance
  17. K

    Nimeshangazwa na nimesikitika Arsenal kupoteza ule mchezo

    Kazi ya ukocha ni ngum sana asee, Kocha kapanga kila kitu na wachezaj wake, Lakini makosa ya kiulinzi na kutokuwa wafanisi langoni ndo ikapelekea kupoteza mchezo, Kwa mech ya jana wachezaj wamepambana sana sina cha kuwadai, ila ndo hivyo mpira ndo mchezo wa makosa To be honest, jana...
  18. K

    Haupaswi kupita njia yako kutoka kwa hali ngumu kila wakati wakati mwingine lazima uipige teke mbele!

    Nmekuja Kugundua Kumfananisha KDB Na Mvunja Kuni Bruno Ni Kumkosea Heshima Aise,Ile Pas Jana Alivoipiga Kama Anatema Kushoto Halafu Akatema Kulia Ligi Atuachie Tu,Adili Na UEFA Kwa Kweli 😂
  19. K

    Jack Grealish na Erling Haaland walifungia Manchester City ushindi wa 3-1 dhidi ya Arsenal

    Asenal wamepiga mpira mwingi sana na wakuvutia sema bado wana utoto mwingi.. haya next week na RB LEIPZIG Man city anakufa 3