Search results

  1. C

    MECHI YANGU BORA YA WORLD CUP 2022 NI ARGENTINA vs NETHERLANDS

    Mechi ya fainali kwangu ni bora sana, maana ilifika wakati tunaona bingwa ni ARGENTINA, lakini dakika chache kabla mechi kuisha, tukaanza kujiuliza kombe linaenda wapi? Maana ilikuwa piga nikupige, na vuta nikuvute. Kitu kingine cha kipekee kabisa kwangu ni namna referee Szymon Marciniak...
  2. C

    ARGENTINA WAMETUA BUENOS AIRES MUDA MFUPI ULIOPITA.

    Argentina football team, the World Cup winners, warejea nyumbani na kombe la dunia, kombe ambalo lilisubiriwa kwa miaka 36.
  3. C

    BUENOS AIRES AU PARIS, WAPI WATAKESHA KWA FURAHA? Goodbye World Cup 2022

    WORLD CUP FINAL, SIO TU FRANCE DHIDI YA ARGENTINA, NI LEONEL MESSI VS KYLIAN MBAPPE. Bila shaka sio fainali rahisi kuitabiri kuwa nini kitatokea, maana timu hizi mbili zina vitu viwili ambavyo ni nguvu yao ya kujivunia na kila timu ipambane dhidi ya vya mpinzani wake ili kuweza kushinda...
  4. C

    YANGA VS POLISI TANZANIA

    Yanga inaongeza gape la points pale kileleni bila shaka. Mechi inaweza kuwa ya upande mmoja sana, maana Yanga is too heavy to Polisi Tanzania.
  5. C

    TANZIA! SINISA MIHAJLOVIC AFARIKI.

    Aliyewahi kuwa mchezaji wa vilabu vya Lazio na Inter Milan, raia wa Yugoslavia, mmoja wa dead ball masters kuwahi kutokea kwenye soka duniani, mchezaji aliyewahi kusema nanukuu "napenda sana free kicks, kwakuwa kwangu ni nzuri, na kama isingekuwa kuna free kicks kwenye mchezo wa mpira wa miguu...
  6. C

    MOROCCO Vs FRANCE

    Morocco Vs France, italeta historia ya kibanga ampiga mkoloni? Tusubiri na tuone!
  7. C

    MAPUMZIKO, BRAZIL DHIDI YA CROATIA, BADO MILANGO NI MIGUMU.

    Kipindi cha kwanza cha kuburudisha kabisa, nafasi ni chache sana zilizotengenezwa na timu zote mbili. Brazil kama wanataka kubadilisha matokeo kwenye second half wafanye mabadiliko ya mfumo kwa kutumia zaidi pembeni, maana katikati Croatia wako imara sana, chini ya Marcelo Blozovic, Mateo...
  8. C

    MEXICAN WAVE

    Mexican Wave Hii ni aina ya ushangiliaji ambapo mashabiki uwanjani hushangilia kwa style moja, na pindi inapotokea Mexican wave uwanjani wakati wa mechi, hii inadhihirisha kuwa watazamaji wanafurahia mchezo. Namna ya kushangilia ni kuinuka na kuinua mikono juu kwa awamu kuzunguka uwanja...
  9. C

    SOFYAN AMRABAT, EGEMEO LA MOROCCO.

    Huyu Sofyan Amrabat, anafanya timu ya Morocco icheze kwa uwiano mkubwa, kati ya safu ya ulinzi na safu ya ushambuliaji. Nampa jina la utani General, maana kama ni jeshini yeye ndiye mwenye amri ya mwisho kabisa.
  10. C

    NETHERLANDS NA ARGENTINA, ROBO FAINALI YENYE KUJIRUDIA.

    World Cup hii ya kwanza kwenye ardhi ya mashariki ya kati tangu kuanzishwa kwa mashindano hayo 1930, je itatoa pia bingwa ambaye hajawahi kubeba kombe hili la dunia? Tusubiri na tuone. World Cup hii ambayo ina kauli mbiu ya "Now is All" Yani ikiwa na maana ya "Sasa ni Wote" kweli...