Search results

  1. modarich

    WanaKIJIWENI Kwa Kauli Hii Mna Lipi La Kumshauri ISRAH MWENDA Kama Watu Wa Boli?

    kutoka simba lilikua ni jambo zuri ili kulinda kipaji chake na karia yake hila shida kubwa ni management yake kutokuwa na maamuzi sahihi wakati sahihi kwann nimesema haya, management hasa kwa wachezaji wa kulipwa ndiyo muhimili na kioo cha mchezaji, 99% ya maamuzi ya wachezaji uhamuliwa na...
  2. modarich

    Vuvuzela Zipigwe Marufuku Viwanjani Tanzania , Kwani Hatuwezi Kushangilia Wenyewe?

    me naona wazo lako alina mantiki sababu sikuizi watanzania tunapenda sana kujilinganisha na pia hiyo siteji ya kutumia sauti zetu atuja fika huko bali tunaelekea huko kwa saivi focus na vuvuzela hili kuwapa wachezaji motisha wanapokua kwenye pitch
  3. modarich

    Lameck Lawi Kayeyuka SIMBA Anaenda Kucheza Ulaya

    Mnyama moja huyo akuna cha ubelgij