Search results

  1. M

    Haji Manara Acha Dharau Na Dhihaka Kwa Ali Kamwe , Yanga SC Imefaidika Nae 'Kibrandi' Kuliko Ulivyokuwepo

    Manara hajarudishwa Yanga ila kajirudisha mwenyewe tu baada ya kutoka gerezani, jambo lingine analofanya ni kujitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe........ Hayupo tajiri wa ivo anaejua kabisa umefungiwa kwa utovu wa nidhamu halafu akuongeze mshahara, maana yake anatujulisha kuwa JIESIEMU...
  2. M

    TFF Pamoja Na Viongozi Wa Klabu Za Simba Na Yanga Mjitafakari. Mpira Hauna Siasa, Dini, Rangi Wala Kabila!

    Bosi mbona unaelezea kama vile wote tulikuwepo, hebu kunywa kwanza maji halafu utuelezee upya ilivyokuwa