Search results

  1. S

    Mwana Kijiweni Mpaka Sasa Usajili Unakupa Picha Gani Kuelekea Kwenye Msimu Mpya 2024\2025

    Usajili huu unaonesha kwamba ligi yetu imekua Kwa asilimia 85 ni zaid ya miaka nyuma sasa kila timu inasajili kiufundi zaid na Kwa gharama kubwa kutoka kuchukua wachezaji mataifa mengine kuleta ushindani
  2. S

    Je, Kwa Usajili Waliofanya Yanga Ni Sahihi Kumuachia Azizi Ki?

    Azizi kaletea offer zaid ya 3 za timu kubwa barani Africa zenye pesa chafu...hivyo bas sy rahis Kwa yeye kusalia yanga ndy maana yanga walipambana kupata Saini ya chama wakijua wanaweza kumpoteza Aziz na mpaka sasa hajatia Saini yanga ...na endapo ataondoka sy rahis Kwa machezaji mengine kukupa...
  3. S

    Je, Kwa Usajili Waliofanya Yanga Ni Sahihi Kumuachia Azizi Ki?

    Aziz ki kapewa offer na timu kubwa barani Africa Tena offer nono yenye Tija kwenye maisha yake ya soko .hivyo bas ndy maana yanga walipambana sana kumvuta chama wakijua kwamba Aziz ki wanaweza kumpoteza ...ila sijui kwamba endapo Aziz akiondoka syo rahisi Kwa machezaji kama yeye kuja kuwapa...