Search results

  1. B

    Je, Kwa Usajili Waliofanya Yanga Ni Sahihi Kumuachia Azizi Ki?

    Kwa kweli ni kosa kubwa sana kuachilia Aziz Ki Kwani kazi aliyoifanya kwa msimu uliopita ni kubwa mno, hivyo walipaswa kuendelea kumshikiria ili waende mbele zaidi. Kitakachoenda kutokea kitakuwa kama Mayele kuondoka kwake, hakika pengo litabaki.