Search results

  1. Chris_breezy255

    Si Umeuona Usajili Wa Timu Yako? Fanya Kama Una Tangaza Mpira Mpaka Goli Linapatikana Kwa Kikosi Ambacho Mmekisajili

    Ayoub anaanzisha harakaharaka kwake Che Malone.. Che Malone anatafuta wa kucheza nae anampasia Fabriiiiis Luamba ngoma unaweza kumuita midfielder teacher anapokea mali uzuuuri kabisa anatafuta pa kupita anarudisha kwa zimbwe makotroo.. zimbwe anapiga pasi rula inafika kwa fundi Jean Charles...