Search results

  1. Juvenalius Rugambwa

    KIMEWAKA KAGAME CUP, LAWI BADO YUPO COASTAL.

    Dar-es-salaam. Klabu ya Coastal union imeanza kwa kishindo michuano ya Darport Kagame Cup kwa kushinda goli 1-0 dhidi ya Dekadaha FC ya nchini Somalia. Michuano hii imeanza rasmi siku ya jana tarehe 9 Julai na inategemewa kufikia tamati tarehe 28 Julai huku viwanja vinavyotumika ni uwanja mpya...