Search results

  1. M.dawite

    Yupi Ni Mchezaji Muhimu Sana Kwenye Timu Unayoshabikia?

    Khalid aucho best offensive and defensive midfielder in Africa 🌍
  2. M.dawite

    Panga Kikosi Cha Kumfunga Mtani Wako Kwa Mkapa Mchezo Wa Ngao Ya Jamii

    Diarra Yao Boka Job Bacca Aucho Mudathiri Max Pacome Aziz ki Dube Weka nyumba weka mademu zako wote 😅
  3. M.dawite

    Ipi Ni TOP FIVE (5) Yako NBC PL 2024/2025?

    Yanga Azam Simba Singida Dodoma
  4. M.dawite

    Baada Ya Taarifa Ya Hukumu Na Yale Ambayo Yanaendelea Wana YANGA Msimamo Wenu Ukoje?

    Nadhani hawa wazee wanatumika na viongozi wa makolo na huu mtego hatutaingia kamwe wanayanga ni muda wa kushikamana na kuilinda brand mti wenye matunda hupigwa mawe #daima mbele nyuma mwiko🌿
  5. M.dawite

    Kikosi changu

    Diarra Yao Boka Job Bacca Aucho Mudathiri Pacome Aziz ki Max Dube