Search results

  1. J

    Hivi Ni Kweli Yanga Kiingilio Cha Elfu 5 Pia Kimewashinda?

    Hili ndo tatizo la nchini kwetu yani watu wanashabikia kwa mdomo bila kuonesha support kwa vitendo ilikuwatia moyo viongozi wetu wazidi kuboresha timu, sometimes viongozi na wazamani wakiona muamko wa mashabiki pia wanapata moyo wa kuendelea kupambania timu jaman tubadilike
  2. J

    Je ni kweli Awesu bado anamkataba KMC

    Je ni kweli Awesu bado anamkataba KMC
  3. J

    Je, Mahakama Ina Mamlaka ya Kumwondoa Rais wa Yanga Hersi?

    Hahaha mm nafurahi tu wanavyopishana wenyewe.....UBAYA UBWELA. Itoshe kusema yanga kwa sasa ni timu yatima haina uongozi