Search results

  1. G

    Baada Ya Taarifa Ya Hukumu Na Yale Ambayo Yanaendelea Wana YANGA Msimamo Wenu Ukoje?

    Injinia Hersi alianza kuiongoza Yanga kama Rais miaka miwili iliyopita baada ya kushinda nafasi hiyo akiwa ni Mgombea pekee July 2022 na kumfanya kuwa Rais wa kwanza wa Yanga SC toka kuanza kwa mfumo mpya wa mabadiliko ambapo alitangazwa kuwa atakuwa madarakani kwa miaka minne ( hadi 2026 ) kwa...