Ratiba si mbaya sana imekaa tu vizuri nikiwa kama mdau wa soka naombea tu timu imalize hizo taratibu mapema pasipo issue za injuries za hovyo hovyo kwa wachezaji
Mimi siyo shabiki wa Yanga lakini kwa yanayoendelea Sasa naombea vugu vugu liishe na wale waliokuwa madarakani waendeleee kwani kupitia wao tunapanda ushindani katika soka letu la Africa