Search results

  1. S

    Ningekuwa Kwenye Benchi La Ufundi La Klabu Ya Simba SC Ningependekeza Kikosi Hiki

    Mi naona wachezaji wengine wapo vizur ila nahisi upande wa kapombe na mutale wangeanza nje alafu mutale aingie baadae watu wamechoka inaweza leta impact kubwa na upande wa ahoua yule jamaa yuko vizur ni kwamba anapewa majukumu makubwa uwanjani yanasababisha kuonekana hajui kitu