Search results

  1. njovu master

    FULL TIME : GUINEA 1 TANZANIA 2 | Leo Mna Lipi La Kuzungumza WAZALENDO?

    Goli la kwanza la Tanzania 🇹🇿 tumefungwa kizembe kutoonesha ushilikiano kama alivyoonesha Ibrahim baka kwanza apewe mauwa yake baka kamwaga jasho kwa ajili ya taifa lake wakupewa lawama pale katka lile goli ni nondo mwamnyeto I think akuwa na kokoto mchanga na simenti na ndiomana akuweza...
  2. njovu master

    FT : Simba SC 4 Fountain Gate FC 0 | Mna Lipi La Kusema Wekundu Wa Kijiweni?

    Teacher fadlu Ana baya mfumo wake upo vyema so ss ni vinara wa NBC premier ligi 😂😂😂 kwanza apo ncheke
  3. njovu master

    FT : Vital'O 0 Yanga SC 4, Wananchi Mna Lipi La Kusema Baada Ya Mchezo Huu?

    Ongereni sana sana mtani kwa kuiwakilisha nchi yetu yaTanzania 🇹🇿 vizuri pia kwa kunwakilisha vyema mama samia suluh hasani asanteni sana nyie ni kwa sasa nawaita JWT cz naamini mumekunywa maji ya bendera ya nchi yetu mumevuja jasho na kuipigania bendera ya Tanzania 🇹🇿 na kuiweka nchi katika...
  4. njovu master

    FT :Yanga 2 Red Arrows 1 : Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Mchezaji Gani Amekuvutia?

    Shida makamu wa raisi alikuwepo uwanjani so waliogopa kumtia aibu Ana ndiomana wageni wamenyimwa penalty 🤣🤣🤣🤣 mbeleko star wangu wa leo ni Banda tu peke ake
  5. njovu master

    Mkeka Wa Leo Jumapili 04/08/2024 Nyie Hamuogopi?

    Nimedadamkaaaaa mapema mwana ubaya ubwelaaaaa supu nimekosaaa na tiketi nimekosa jamani 🤣🤣🤣🤣 wakunyumba ubaya ubwelanga na speed ya sgr simbaaaa nguvu moyaaaaaàa in 😁💪💪💪💪
  6. njovu master

    Hivi Ni Kweli Yanga Kiingilio Cha Elfu 5 Pia Kimewashinda?

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ubaya ubwelanga vyuraa kazi yao kununuliwa ticket kama supe wanapewa buree kwa nn wasiingie bure eti ticket zao laki sita nyooo wee kuweza mziki wa ubaya ubwelanga hawauwezi kuufikia milele ubayaaaaa ubwelaaaaaaaaa
  7. njovu master

    TS GALAXY 0 Yanga SC 1: Umeionaje Mechi Na Kikosi Cha Yanga Kwa Ujumla Kwenye Mchezo Wa Leo?

    Kiukweli mie nilikuwa namtazama chama tu peke yake maana naona kama pumzi akunaga vile huyu mwaka mmoja huu unamuhusu aongezi mwingine wala aongezewi mwingine
  8. njovu master

    Darasa La Bure Kwa Wana KIJIWENI Kuhusu Sakata La Kibu

    Bus Busara ya mama ilitumika sasa kibu d itatumika busara ya nani au baba