Search results

  1. B

    Mmeshinda lakini mna furaha?? Yanga Pointi 7 nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi

    Leo Yanga mmejitahidi ila inabidi wawe wanaandaa wapiga penalt wazuri na sio mtu yeyote tuu au kubahatisha. Mayele ajifunze umakini akifika golini na kutaka kufunga na asitake afunge yeye tuu hata kama hana nafasi nzuri ajifunze kutoa pasi kwa wenzake. Yanga tunashida mbili endelevu.. mipira ya...
  2. B

    Mikeka na code

    E46820B jarib kwa kidogo tu. Sportbet
  3. B

    Mikeka na code

    Bunich Vs Psg 4.06 odd kwa Psg hizi nakufa nazo
  4. B

    Man United tumepigwa kipigo cha aibu sana

    Ishu iiyopo sio kufungwa ishu unafungwaje 7 ishu ya pili BILA. Kuna jambo ambalo aliposawa eitha ndan ya uongoz kwa maana man ilikaa vzur baada ya kumfunga liver hapo tulishapoteza mechi kadhaa nyuma ikiwemo bright na kina brent ikapelekea leo hii grazer kuamini kutouza team na leo hii tunaharib...
  5. B

    Nyota wa Real Madrid alishtukia kiwango chake dhidi ya Real Betis

    I think we also need to create a good chemistry ya midfielders wetu.We are in a transition phase pale kwenye midfield yetu with the young guys trying to take over from kina modric.Inabidi tupate midfield trio yetu kwamba hawa ndo undisputed starters,kila siku naona different kinds of combination...
  6. B

    Sakata la Fei linazidi kuleta mvurugano

    Kwa hyo kashakubali kua bado mchezaji halali wa yanga na ndio mna anataka kuvunja mkataba ,,,, kumbe siku zoote anatusumbua kumbe ukweli anaujua Sasa yanga wanakutaka hawapo tayari kuvunja mkataba na utalipwa staiki zako Kama mchezaji halali
  7. B

    Dakika 45 Yanga vs Tanzania Prison

    Timu imecheza vizuri kuanzia nyuma mpaka kiungo safu ya ushambuliaj waongeze utulivu naamn wanaeweza kuibuka na ushindi yote kwa yoye walimu ameyaona atayafanyia kazi mapungufu Kkufanya Sub: ingiza Mayele na Muda apumzike Mauya na Musonda na mbele amuongeze Clement kubadilisha mchezo Kama...
  8. B

    Sitaki kudharau Laliga, lakini mechi za England ni ngumu zaidi "Casemiro"

    Alipoulizwa kulinganisha Ligi Kuu na La Liga, Casemiro alisema: "'Kweli, ukweli, ni tofauti. Hasa kwa sababu ya hali tofauti, kama ukubwa wa michezo hapa. ''Sijaribu kudharau La Liga, lakini michezo hapa ni migumu zaidi, kuna idadi kubwa ya mabadiliko. ''Nchini Uhispania, kwa kawaida...
  9. B

    THREAD: VICTOR OSIMHEN MSHAMBULIAJI WA NAPOLI KUHAMIA UINGEREZA BAADA YA KUFUNGA BAO KATIKA USHINDI WA LIGI YA MABINGWA???

    VICTOR OSIMHEN: GLENN HODDLE AKIWA NA HASHA KUONA MSHAMBULIAJI NAPOLI AKIHAMIA UINGEREZA BAADA YA KUFUNGA BAO KATIKA USHINDI WA LIGI YA MABINGWA Victor Osimhen amekuwa akilengwa na Manchester United kwa muda mrefu na Glenn Hoddle amemtaka nyota huyo wa Napoli kuhamia Ligi ya Premia baada ya...
  10. B

    Liverpool Inaonekana kuanza kuamka, baada ya mabadiliko kadhaa kwenye timu

    Liverpool Inaonekana kuanza kuamka, baada ya mabadiliko kadhaa kwenye timu. Ingizo la kijana mdogo Stefan Bajcetic limerejesha nguvu iliyopotea kwenye eneo la kati la Liverpool. Cody Gakpo anaonekana kuanza kuingia kwenye mfumo, goli mbili mfululizo kwenye mechi mbili tofauti, hiyo ni hatua...
  11. B

    Jack Grealish na Erling Haaland walifungia Manchester City ushindi wa 3-1 dhidi ya Arsenal

    itoshe tuu kusema asenali wameumaliza mwendo.. na huku bongo nyoka nyoka fc jiandaeni kisaikolojia, mmeongoza mda mrefu ila ndoo inaelekea msimbazi
  12. B

    Liverpool Imerejea kwa ushindi

    Gakpo na Nunez baada ya kufanya maamuzi Mo Salah lengo na sherehe baridi Jota na Bobby hatimaye walirudi Pickford aendelee kulia Ushindi wa kwanza mnamo 2023 (Februari 13😳)
  13. B

    Us Monastir walichokifanya wameamua kumuachia Yanga Mpira au cheze wao wamejisemea kuwa tunataka point 3 muhimu nyumbani

    But Guys boys did their best ni vile tu wametuwahi first half kwa mkapa kokote nitakapokuwa nitafaya niwezalo kuja kuwaona wanavofia hapa Game plan wanakuachia mpira wakupate kwenye counter,they have 2 goals lead hawahitaji kufunguka Tungepata goli la ugenini leo ingekuwa nzuri sana
  14. B

    Juventus wanafikiria kuachana na Paul Pogba kwani bado hajacheza kwa dakika moja

    Juventus wanafikiria kuachana na Paul Pogba kwani bado hajacheza kwa dakika moja. The Bianconeri wanafikiria kumuuza Pogba, au hata kusitisha kandarasi yake mwishoni mwa msimu huu - huku MLS ikiaminika kuwa ndiyo uwezekano wa kucheza mchezo ujao. Kuna hasira juu ya hatua ya awali ya Pogba...
  15. B

    Hawa Chelsea wanataka nini? kila mchezaji wao tu ebo! sasa wamehamia kwa Enzo Fernandez

    Man u ni mkubwa kuliko Chelsea 120M kwa malipo moja au endelea kuwaombea mashabiki wa Chelsea 😂😂 Hiyo ndiyo njia pekee wanayoweza kupata Enzo Januari. Wanaweza kuja Lisbon na kukutana, kulipa chakula cha mchana cha bei ghali lakini ikiwa huna 120M kamili hiyo ni pabaya!
  16. B

    Nothigham Forest vs Man United 0-3

    alafu kumbe hawa Nothngham Forest toka Carabao ianze hawajapoteza kwenye huu uwanja wao
  17. B

    Wachezaji wa Man United waliopo kwenye Record na waliopanda viwango na waliobakia palepale chini ya ETH mpaka sasa

    Lindeloff, Maguire, tominay, fredy wote hawa walipaswa kuuzwa mapema tu