Search results

  1. kidudumtujr

    Mchezaji anaelipwa Hela nyingi Kumzidi Ronaldo.!

    Watu wengi wanajua Cristiano Ronaldo ndiye mchezaji tajiri zaidi baada ya kulamba dili la usajili mnono kuliko mchezaji yoyote kwa sasa. Ronaldo ana utajiri wa paundi milioni 425 ambazo anazipata kutokana na mikataba ya makampuni mbalimbali kama vile Armani, Uniliver, Nike, Herbalife na Dazn...
  2. kidudumtujr

    Azam ni kama wapo serious na Ligi kuu Msimu huu..!

    Naona Nafasi ya Pili msimu huu itakua Ngumu sana,Hawa Azam na Simba watatoana Damu..!๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ˜‚
  3. kidudumtujr

    Lionel Messi Ndani ya NBC

    Nathibitisha kuwa mpaka sasa hakuna Mchezaji anaetumia Mguu wa kushoto Mwenye uwezo mkubwa kuliko Aziz Ki huyu kwangu ni Lionel Messi wa NBC.!
  4. kidudumtujr

    Buriani Pelรฉ

    Kijana wa ki brazili aliecheza Mpira wa miguu,kandanda,soka,kwa mafanikio makubwa ulimwenguni ambayo mpaka sasa hayaja fikiwa na Mchezaji yoyote. Gwiji wa Mpira wa Miguu Edson Arantes do Nascimento (Pelรฉ) kama wengi mnavyomtambua aliefanya watu waupende Mpira wa miguu โ€œicon of the Footballโ€Leo...
  5. kidudumtujr

    Jose Mourinho na Harakati zake.

    ๐‰๐จ๐ฌ๐ž ๐Œ๐จ๐ฎ๐ซ๐ข๐ง๐ก๐จ ๐ซ๐ž๐œ๐š๐ฅ๐ฅ๐ฌ ๐š ๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐ฒ. Nilimwendea na kumwambia (Maicon) kwamba ikiwa atapewa kadi ya njano,hatakwenda likizo, mimi si mjinga(Ni muangalie apate Kadi ili game ijayo asiweze kucheza akapumzike kwao) Maicon akauliza,kama akifunga,anaweza kwenda? Nilimjibu 'Hapana, ikiwa tu utafunga...
  6. kidudumtujr

    AKAMINKO NI $400k na KIPRE Jr ni $400k

    ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  7. kidudumtujr

    Halaand mpaka sasa ana Goli nyingi kuliko Goli za Chelsea.

    Msimu huu umekua mzuri kwake Erling Haaland ambae mpaka sasa amefunga Goli 20 ndani ya Mechi 14,Goli nyingi kuliko Goli zilizofungwa na Chelsea msimu huu.
  8. kidudumtujr

    Rashford msimu huu kawa Mcharo.!

    Nyota wa Manchester United, Marcus Rashford amefunga katika mechi 5 mfululizo kwenye uwanja wa Old Trafford na ana mabao mengi zaidi ya aliyokuwa nayo msimu wote uliopita. Msimu uliopita alifunga Mabak matano pekee.
  9. kidudumtujr

    Gapko kutua Liverpool..!

    Klabu ya Liverpool imefikia makubaliano ya kumsajili Kody Gapco kwa dau la kati ya paundi milioni 35 na 45 akitokea klabu ya PSV. Taarifa iliyotolewa na klabu ya PSV imesema" tumefikia makubaliano na Liverpool ya kutaka kumsajili Gapco,". Mshambuliaji huyo mwenye miaka 23 anategemewa kuhamia...
  10. kidudumtujr

    Hawa Newcastle hawa..!!

    Inamaana Newcastle msimu huu wana kikosi kizuri kuliko Liverpool,Manchester United,Manchester City na Chelsea?
  11. kidudumtujr

    Fei kasharudi kambini.!

    Feitoto kuzikutanisha Yanga na Azam leo usiku Mechi tatu za ligi kuu ya Kandanda Tanzania bara zinachezwa leo katika viwanja tofauti. Moja ya mechi yenye mvuto na ushindani ni kati ya mabingwa watetezi Yanga dhidi ya Azam FC. Yanga na Azam, ukiachia ushindani wao wa uwanjani, pia wapo katika...
  12. kidudumtujr

    Arteta ataka Arsenal iendelee ilipoishia

    Kocha wa Arsenal Mikel Arteta amewataka wachezaji wake kuhakikisha moto waliouwasha msimu huu unaendelea kuwaka wakati ligi kuu ya Uingereza itakaporejea. Ligi hiyo ilisimama kupisha michuano ya kombe la Dunia iliyomalizika Qatar. Kocha huyo amewaambia wachezaji wake kuwa kama wanataka...
  13. kidudumtujr

    FEI AAGA RASMI YANGA.

    Aliekua Mchezaji wa YANGA Feisal Salum โ€œFeitotoโ€ ameaga Rasmi mashabiki wa Timu ya YANGA kupitia kurasa zake za Mitandao,Hii inaashiria ni Rasmi sasa Feisal Salum anakwenda kujiunga na Matajiri wa Chamazi,AZAM.
  14. kidudumtujr

    Simba wapegiwa au wamelamba Dume..?

    Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga Said Ntibazonkiza amejiunga na klabu ya Simba kupitia dirisha dogo la usajili. Simba imemtambulisha mchezaji huyo kupitia katika mitandao yake ya kijamii Habari za ndani zinasema amesaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu kuitumikia klabu huyo. Ntibazonkiza...
  15. kidudumtujr

    FEISAL AONDOKE PALE YANGA

    Yani atoke YANGA alafu aende Azam?